Acha Kutegemea Bahati.

Jenga Mfumo Wa Kupata Wateja.

▶
Video inakuja hivi karibuni
Bingo Coaching Program — maelezo kamili

Done-With-You coaching kwa fundi, contractor, na real estate business zinazotaka mfumo wa kudumu wa kupata wateja — si nadharia, ni kujenga pamoja.

Sio darasa la theory.

Hii ni Done-With-You Coaching Program — tunafundisha, tunaongoza, na tunajenga mfumo pamoja na wewe mpaka uweze kuendelea mwenyewe.

Tatizo

Tatizo Kubwa kwa Biashara Nyingi za Ujenzi

Biashara nyingi za ujenzi na real estate zinafanya kazi nzuri, lakini hazionekani vizuri online.

Wengine wana page lakini haijengi trust.

Wengine wanaboost matangazo bila strategy.

Wengine wanapata messages lakini hawajui namna ya kujibu, kufollow up na kufunga deal.

Wengine wanategemea referral tu — leo kuna kazi, kesho hakuna.

Na wengine wanatumia pesa kwenye ads lakini hawapati matokeo kwa sababu hakuna mfumo unaounganisha content, ads na sales.

Suluhisho

Ndiyo Maana Tumeanzisha Bingo Coaching Program

Bingo Coaching Program imeundwa kwa ajili ya biashara zinazotaka kujifunza na kujenga mfumo wao wenyewe wa kupata wateja.

Badala ya sisi kufanya kila kitu kwa niaba yako, tunafanya pamoja na wewe.

Tunakuonyesha nini cha kufanya, kwa nini kinafanyika, na namna ya kuendelea kutumia mfumo hata baada ya coaching.

Lengo letu ni kukusaidia usitegemee bahati, referrals pekee, au boosting za kubahatisha.

Tunataka ujenge mfumo unaoeleweka.

Utakachojenga

Hii Program Itakusaidia Kujenga Nini?

1
Page Setup & Positioning

Tutakagua page yako na kuiboresha ili ionekane professional, iwe na message inayoeleweka, na ijenge trust kwa mtu anayetoka kwenye tangazo.

2
Content Strategy ya Kujenga Trust

Tutapanga content inayoonyesha kazi zako, process yako, ubora wako, proof, before/after, testimonials na professionalism yako. Kwa ujenzi na real estate, content ni ushahidi.

3
Ads Zinazovutia Wateja Sahihi

Tutakufundisha kuandaa matangazo yenye hook, problem, solution, offer, proof na CTA. Hatutafocus kwenye poster nzuri tu — tutafocus kwenye ad inayoweza kumfanya mtu akutumie ujumbe.

4
Meta Ads Setup

Tutakuonyesha namna ya kuandaa campaign kwa structure sahihi, kuchagua objective, budget, location, placements na duration. Utaelewa tofauti kati ya kuboost tu na kurun ads kwa mfumo.

5
WhatsApp Sales System

Leads zikiingia, tutakusaidia kujenga mfumo wa kujibu, kuuliza maswali sahihi, kutuma proof, kushughulikia objections na kufollow up.

6
AI Sales Assistance

Tutakuonyesha namna ya kutumia AI kuandaa reply scripts, follow-up messages, objection handling, customer care templates na simple sales system.

7
CRM & Follow-Up

Tutajenga mfumo rahisi wa kufuatilia leads zako ili usipoteze watu waliouliza bei, waliotaka quotation au waliokosa kujibiwa kwa wakati.

Je, Inafaa Kwako?

Kwa Nani Program Hii Inafaa?

KWA NANI INAFAA
  • Makampuni ya ujenzi
  • Real estate businesses
  • Contractors
  • Fundis
  • Interior na finishing service providers
  • General suppliers wa vifaa vya ujenzi
  • Viwanda vinavyozalisha bidhaa za ujenzi
  • Property managers na developers
SIO KWA KILA MTU
  • Hutaki kufanya kazi ya implementation
  • Unataka matokeo ya overnight bila process
  • Huna budget yoyote ya kujaribu ads
  • Hutaki kujibu leads kwa wakati
  • Unataka mtu akufanyie kila kitu bila kujifunza
  • Huna laptop ya kutumia kwenye mafunzo

Kama unataka kujifunza mfumo na kushiriki kwenye implementation, hii program ni kwa ajili yako.

Hii ni coaching ya vitendo. Tutafanya pamoja, lakini lazima uwe tayari kushiriki.

Bingo Promotion — Tumesaidia Mafundi 30+, makampuni ya ujenzi 7 na viwanda vinne kuandaa na kutuma matangazo.

Uthibitisho

Bingo Portfolio — Mifano ya Matangazo Tuliyoandaa

Utaona kwamba Bingo Promotion haifundishi theory pekee — tunafanya kazi na biashara halisi.

Mchakato

Namna Program Itakavyoendeshwa

1
Audit

Tutaanza kwa kukagua biashara yako, page yako, offer yako, content yako na namna unavyopokea customers.

2
Strategy

Tutapanga position yako, target customers, message, content direction na ads direction.

3
Setup

Tutaboresha page yako, bio, highlights, pinned content na customer journey.

4
Ad Creation

Tutakuongoza kuandaa ads zenye message nzuri, visual nzuri na CTA ya WhatsApp.

5
Ads Setup

Tutakuonyesha namna ya kuandaa campaign na kuanza testing kwa structure sahihi.

6
Sales System

Tutajenga WhatsApp replies, follow-up scripts, objection responses na simple CRM.

7
Review & Optimization

Tutakagua kinachofanya kazi, kinachoshindwa na nini cha kuboresha.

Maoni ya Wateja

Watu Wanasemaje Kuhusu Bingo Promotion?

Matokeo

Matokeo Tunayolenga

Mwisho wa program, unatakiwa uweze:

Kwa Nini Sasa

Kwa Nini Ujiunge Sasa?

Kwa sababu soko la ujenzi na real estate linazidi kuwa competitive.

Wateja hawachagui biashara kwa sababu ipo tu.

Wanachagua biashara wanayoiona, wanayoamini, na inayojibu vizuri wanapohitaji huduma.

Bingo Coaching Program inakusaidia kujenga mfumo huo.

Uwekezaji

Chagua Package Yako

Bingo Lite
300,000/=
  • Usanifu wa ukurasa na positioning
  • Mkakati wa content
  • Uundaji wa matangazo (ad creatives)
  • Usanifu wa Meta Ads
  • Mfumo wa WhatsApp Sales
  • Ufuatiliaji wa CRM
  • AI kwa Content
  • AI kwa Mauzo
Chagua Msingi
Bingo Plus
500,000/=
  • Usanifu wa ukurasa na positioning
  • Mkakati wa content
  • Uundaji wa matangazo (ad creatives)
  • Usanifu wa Meta Ads
  • Mfumo wa WhatsApp Sales
  • Ufuatiliaji wa CRM
  • AI kwa Content
  • AI kwa Mauzo
Chagua Kamili

Jiunge na Bingo Coaching Program

Kama unataka kujifunza na kujenga mfumo wa kupata wateja kupitia content, Meta Ads, WhatsApp sales na AI, hii ndiyo hatua yako inayofuata.

Nafasi za kundi la kwanza ni chache.
Jiunge Sasa